Uza WiFi Kidigitali

Badili biashara yako ya WiFi kuwa ya kidigitali. Uza vifurushi kiotomatiki, wateja walipe kwa simu na wapate intaneti papo hapo, bila usimamizi wa mikono.

Portal ya MENDEZ - chagua pakiti na lipa
100%
Malipo Kiotomatiki
4 Mitandao
Vodacom, Airtel, Yas, Halotel
24/7
Huduma Daima
TZS 10K
Ada ya Mwezi / Tawi

Hatua Rahisi Kwa Mteja

Kuanzia kuunganisha hadi kupata mtandao, yote ni moja kwa moja.

1

Mteja Anaunganisha

Mteja anaunganisha kwenye WiFi yako. Portal ya malipo inafunguka kiotomatiki kwenye simu yake.

2

Chagua Pakiti

Mteja anaona pakiti zote na bei zao kwenye portal yako iliyobinafsishwa.

3

Ingiza Namba

Mteja anaingiza namba ya simu (M-Pesa, Airtel, Yas, Halo) — hakuna usajili.

4

Lipa kwa Simu

Taarifa ya malipo inatumwa kwa simu yao. Wanathibitisha na malipo yanakamilika.

5

Mtandao Unatolewa

Mtandao unatolewa papo hapo. Pakiti inapoisha, portal inafunguka tena.

Kwa Nini MENDEZ ni Bora?

Mfumo kamili wa biashara ya WiFi, unaokuwezesha kudhibiti matawi yako yote.

UNACHOHITAJI VIFAA VIWILI TU

  • Chanzo cha Internet ( Router au Fibre ya Airtel, Yas, TTCL, Halotel, Vodacom )
  • Access Point za TP-Link Omada (EAP)
  • TP-Link Omada Access Point

Inafanya kazi na TP-Link Omada

Mfumo wetu unaunganishwa moja kwa moja kwenye Access Points za Omada. Hakuna vifaa vingine vya ziada.

Malipo kwa Simu (Mobile Money)

M-Pesa, Airtel Money, Mixx By Yas, HaloPesa zote zinaungwa mkono. Mteja anapokea taarifa kwenye simu yake.

Matawi Mengi (Multi-Branch)

Akaunti moja, maeneo mengi. Kariakoo, Mbagala, Morogoro, au popote — yote kutoka dashboard moja.

Pochi na Utoaji wa Pesa

Mapato yanaingia moja kwa moja kwenye pochi yako. Unaweza kutoa pesa kwa simu wakati wowote.

Brand yako Mwenyewe

Nembo yako, jina la biashara yako, na ujumbe wako kwenye portal. Wateja wanaona brand yako.

Takwimu za Moja kwa Moja

Leo, wiki, mwezi, mwaka. Wateja walio mtandaoni, pakiti zinazouzwa, historia ya mapato — zote live.

Gharama ya Mfumo na Ada ya Kila Mwezi

Ufungaji wa Mfumo
60,000 TZS
Ada moja tu ya ufungaji wa mfumo
  • Usakinishaji kwenye Access Point
  • Mafunzo ya matumizi
  • Kebo za CAT 6 BURE
  • Msaada wa awali
Nunua Sasa
Ada ya Mwezi
10,000 TZS/monthly
Kwa kila tawi la biashara
  • Miamala ya wateja isiyo na kikomo
  • Matawi mengi yamejumuishwa
  • Portal ya malipo yenye brand yako
  • Dashboard ya mapato ya moja kwa moja
  • Pochi + utoaji wa pesa
  • Msaada wa WhatsApp 24/7
Jiunge Sasa

Uko tayari kubadilisha biashara yako ya WiFi?

Wasiliana nasi kwa WhatsApp na tutakusaidia kuanza leo. Tunakupa mafunzo na msaada wa karibu.

Ongea Nasi Sasa